Timbulo adai hataachia video ya wimbo wake mpya ‘Mzima Mzima’
Timbulo amedai kuwa hataachia video ya wimbo wake mpya ‘Mzima Mzima’
badala yake ataachia wimbo mwingine mpya mapema wiki ijayo
aliomshirikisha Malaika.
Akiongea na Bongo5, Timbulo amesema, “Hiyo kazi niliyoiachia inawezekana ikaendelea hivyo hivyo bila kichupa.”
“Ndiyo maana sijauachia kwenye media zaidi ya kwenye mitandaoni pekee kwa sababu nimekuwa kimya sana kwa muda mrefu na demand ya watu imekubwa zaidi kuliko jinsi uwezekano wa kufanya official released ulivyo,” aliongeza.
Aidha Timbulo aliendelea kwa kusema “,Mara nyingi tumezoea kuwa huwezi kufanya official released ngoma mbili kwa pamoja zote zikawa official. Kwaio watu wanatamani kunisikia kwenye kazi nyingi tofauti kutokana na kuwa kimya kwa muda mrefu.”
Timbulo amesema kuwa wiki ijayo ataachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Malaika lakini itakuwa ni audio kwanza na baadae ataachia kichupa chake

No comments