Picha Ommy Dimpoz kakutana na Wayne Rooney - DENIS KIBINDU

Picha Ommy Dimpoz kakutana na Wayne Rooney

Hii ni miongoni mwa trending stories kwa sasa bongo, msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz kakutana na mchezaji wa Man Untd Wayne Rooney huko Ibiza ambapo mastaa wengi wa michezo tofauti na wasanii wapo kwaajili ya mapumziko.
Kwenye posy yake instagram aliandika “Disturbing Spain with Le Captain Wazzaaa @waynerooney #ibiza2016 #pkp_empire #ManchesterBwanaTunapendanaaaa #BataTunakulaPamojaaa #KamaNakuonaUlivyotoaMachoHuamini???????? #SemaWamanyemaWabishiiiBataNaRooney???? ”

No comments

Powered by Blogger.