Mr Blue adai ustaa ulimfanya asahau kutongoza, aeleza uhuni aliofanya
Wakati anahit na ngoma kama Mapozi na zingine, Mr Blue alijikuta amesahau kabisa kutongoza.
Anadai kuwa kutokana na ustaa aliokuwa nao, wasichana wengi walimtaka na yeye alichokifanya ni kuchagua amtakaye na kumpa mambo. Blue anasema enzi hizo alikuwa playboy haswaa!
“Kwahiyo unakuta wanakuja wenyewe, leo uko na huyu, kesho uko na huyu, kesho huyu anakupigia simu anakukumbusha ‘unakumbuka jana tulikuwa wote’ namuambia ahh no sikukumbuki, kwahiyo nilikuwa nao zaidi ya kumi halafu wote kwa pamoja, huyu anakuja nakuambia hebu subiri nipo na huyu. Na anajua lakini haondoki, na anaweza akaja nikamuambia ‘wewe huyu rafiki yako nimempenda wewe ondoka’ anaondoka na kesho anakuja, sijui nilikuwa nimewaroga na kitu gani, nilifanya upuuzi wa aina nyingi sana,” Blue alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.
Blue anasema miongoni mwao walikuwepo mastaa ambao alidai wengine asingependa kuwataja.
“Wengi wanajulikana niliwahi kutoka nao lakini pia wasiojulikana wako wengi kweli yaani wenyewe tu unakuta ukifika maskani unakuta kama nagawa pesa wamejaa pale.”
Mastaa wanaojulikana aliowahi kuwa nao ni pamoja na Wema Sepetu na Naj.

No comments