Picha: Ilivyokua,Red Carpet ‘Usiku wa Tuzo za EATV’ – Mlimani City - DENIS KIBINDU

Picha: Ilivyokua,Red Carpet ‘Usiku wa Tuzo za EATV’ – Mlimani City

Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam.
img_9054
Jux akiwa Vanessa
Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ameshawasili katika ukumbi huu kushuhudia utowaji wa tuzo hizo.
Jumla ya tuzo 10 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa wasanii wa muziki na filamu nchini usiku huu.
Hizi ni baadhi ya picha za red carpet.
img_9127
Joh Makini
img_9124
Msanii wa nchini Kenya, Wahuu akiwa katika Red Carpet za EATV Award
img_9142
Rapa Wakazi
img_9126
Quick Rocka
img_9032
img_9052
img_9053
img_9056
img_9077
img_9122

No comments

Powered by Blogger.