Video: Alikiba, FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol kuwania tuzo ya msanii bora wa EATV Awards 2016 - DENIS KIBINDU

Video: Alikiba, FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol kuwania tuzo ya msanii bora wa EATV Awards 2016

Tuzo za burudani za EATV Awards 2016 zimezinduliwa ramsi Ijumaa hii kwa kutangaza vipengele vitatu vipya na wasanii wanaowania ambapo Alikiba, FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol watachuana katika kipengele cha msanii bora wa kiume.
wasanii
Hawa ni wasanii wanaowania kipengele cha msanii bora wa kiume 2016
Kupitia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Slipway jijini Dar es salaam, EATV LTD ikishirikana na Vodacom Tanzania, CocaCola, Barcklays Bank, kampuni ya ukaguzi ya Innovate pamoja na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) imetaja vipengele hivyo vitatu, ambavyo ni mwanamuziki bora wa kiume, mwanamuziki bora wa kike na Wimbo bora wa mwaka.

Msanii bora wa kiume
G Nako – ‘Original’
Shetta – ‘Namjua’
Ben Pol – ‘Moyo Mashine’
Mwana FA – ‘Ahsanteni kwa kuja’
Alikiba – ‘Aje’
Mwanamuziki bora wa kike
Lilian Mbabazi – ‘Yoola’ (Uganda)
Ruby – ‘Forever’
Linah – ‘Malkia wa nguvu’
Vanessa Mdee – ‘Never ever’
Lady Jaydee – ‘NdiNdiNdi
Wimbo bora wa mwaka.
Don’t Bother – Joh Makini
NdiNdiNdi – Lady Jayde
Kamatia chini – Navy Kenzo
Aje – Alikiba
Moyo Mashine – Ben Pol
Vipengele ambavyo vitajwa siku chache zilizopita ni pamoja na…
Video bora ya muziki
Njongereza – Navio
Don’t Bother – Joh Makini
Namjua – Shetta
Aje – Alikiba
Lady Jaydee – Ndi Ndi Ndi
Kundi bora la muziki
Wakali Wao – Chozi Langu Utalilipa
Navy Kenzo – Kamatia
Mashauzi Classic – Kismet
Team Mistari (Calvo Mistari & Bobby Mapesa) – Tuzidi
Sauti Sol – Unconditional Bae
Mwigizaji bora wa kike
Nominee: Chuchu Hansy (Laura)
Nominee: Khadija Ally (3 Days)
Nominee: Frida Kajala Masanja (Hii ni laana)
Nominee: Rachael Bitulo njingo (Nimekosea wapi)
Kipengele cha filamu bora ya mwaka
Filamu iliyoingia- Safari ya gwalu
Filamu iliyoingia- Hii ni laana
Filamu iliyoingia- Mfadhili wangu
Filamu iliyoingia- Nimekosea wapi
Filamu iliyoingia- Facebook profile
Mwanamuziki bora chipukizi
Man Fongo
Feza Kessy
Ruky Baby
Mayunga
Bright
Mwigizaji bora wa kiume
Saidi Ali – Ndugu wa mume
Meya Shabani – Profile
Daudi Tairo (Duma) –
Salim Ahmed (Gabo) – Safari ya Gwalu
Dotto Matotora – Likwacha Lala
Baada ya kutangazwa kwa vipengele hivyo tayari zoezi la upigaji kura limefunguliwa kuanzia leo saa sita usiku kwa njia ya simu na njia ya mtandao kupitia tovuti ya eatv.

No comments

Powered by Blogger.