Picha: Tazama Ronaldo alivyoweka ustaa pembeni akiwa na mwanae - DENIS KIBINDU

Picha: Tazama Ronaldo alivyoweka ustaa pembeni akiwa na mwanae


 
Cristiano Ronaldo ameonyesha yeye ni mzazi wa kawaida kama wazazi wengine na
kugeuka “ball boy”, yaani wale vijana waokota mipira wakati mwanaye akicheza mechi.
Nyota huyo wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo hakuonyesha kabisa kama ni mchezaji nyota ambaye hawezi kufanya kazi kama hiyo na kuamua kufanya kama wazazi wengine wanavyofanya wanapokuwa out na watoto wao

No comments

Powered by Blogger.