Exclusive: Mtoboa Macho alishinda milioni 20 za Dume Challenge, mshiriki mwenzake amwelezea alivyomfahamu
Wiki hii, habari kubwa nchini ilikuwa ni tukio la mfanyabiashara,
Said Ally kutobolewa macho, usiku katika maeneo ya Buguruni Sheli
jijini Dar es Salaam.
Jina la ‘Scorpion’ – mtu aliyefanya unyama huo, limekuwa maarufu pia.
Polisi tayari wamemkamata na Jumatano hii alipandishwa kizimbani
kusomewa mashtaka mbalimbali yakiwemo kupora na kumjeruhi Said kwa
kumchoma visu mwilini na kumtoboa macho yake na kumpa upofu wa ukubwani.
SCORPION NI NANI?
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akimsikiliza Said Ally akisimulia mkasa huo
SCORPION NI NANI?
No comments