Diamond: Wimbo Unaofata wa Rich Mavoko Inawezekana Ikawa Collabo na Msanii wa Nigeria au Mimi.
Diamond ameongelea project inayofata ya msanii wake kutoka WCB, Rich Mavoko.
Akizungumza
kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond amesema wimbo
unaofata wa Rich Mavoko inawezekana ikawa collabo na msanii wa Nigeria
au na yeye
“Rich ni msanii nnaye mkubali na inawezekana wimbo
unaofata ya kwakwe akawa amenishirikisha mimi au akawa amemshirikisha
msanii kutoka Nigeria” Diamond ALIFUNGUKA.
Pia muimbaji huyo wa ‘Salome’ amesema kuwa anavutiwa zaidi na uwezo wa uandishi wa mashairi wa Rich Mavoko.
No comments:
Post a Comment