Diamond ameongelea project inayofata ya msanii wake kutoka WCB, Rich Mavoko.
Akizungumza
kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond amesema wimbo
unaofata wa Rich Mavoko inawezekana ikawa collabo na msanii wa Nigeria
au na yeye
“Rich ni msanii nnaye mkubali na inawezekana wimbo
unaofata ya kwakwe akawa amenishirikisha mimi au akawa amemshirikisha
msanii kutoka Nigeria” Diamond ALIFUNGUKA.
Pia muimbaji huyo wa ‘Salome’ amesema kuwa anavutiwa zaidi na uwezo wa uandishi wa mashairi wa Rich Mavoko.
AUDIO: Shikamoo Mama by B2k Mnyama | Download
-
AUDIO: Shikamoo Mama by B2k Mnyama | Download Mp3 B2K Mnyama – Shikamoo
Mama” is a heartfelt song that celebrates the love, respect, and
appreciation child...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Monalisa kuwabwaga kina Lupita Nyong’o?
-
Baada ya muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kutajwa
kuwania tuzo za The African Prestigious Awards kama Muigizaji bora Afrika
huku akitar...
Yemi Alade afanguka kuhusu urafiki na Tiwa Savage…
-
Muimbaji kutoka Nigeria Yemi Alade amekemea vyombo vya habari nchini kwao
kwa kugombanisha wasanii wakubwa wa kike. Kwenye interview aliyofanyiwa
hivi ka...
New Video: Cindy & Wahu – Yeye
-
Kazi mpya ya msanii wa zamani wa kundi la Blue 3 la Uganda, Cindy na msanii
wa Kenya, Yeye. Kwa Cindy inakuwa ngoma ya kwanza tangu ajiunge na Grandpa
Re...
No comments