Jacqueline Mengi kuzindua taasisi yake ‘Dr Ntuyabaliwe Foundation’ Alhamis hii
Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, Alhamis hii atafanya uzinduzi wa taasisi yake, Dr Ntuyabaliwe Foundation.

Jacqueline ambaye ni mke wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, Dr Reginald Mengi, alianzisha taasisi hiyo kama njia ya kumuenzi marehemu baba yake, Dr Ntuyabaliwe.
Uzinduzi wa taasisi hiyo utafanyika kwenye shule ya msingi Kinondoni jijini Dar es Salaam, kuanzia saa nne asubuhi.
Jacqueline ambaye ni mke wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, Dr Reginald Mengi, alianzisha taasisi hiyo kama njia ya kumuenzi marehemu baba yake, Dr Ntuyabaliwe.
No comments