Nitaendelea kuwa ‘single’ hadi nitakapofunga ndoa – Priyanka Chopra - DENIS KIBINDU

Nitaendelea kuwa ‘single’ hadi nitakapofunga ndoa – Priyanka Chopra

Muigizaji wa India aliyetoboa Marekani kwa sasa, Priyanka Chopra amesema ataendelea kuwa single hadi pale atakapofunga ndoa.
priyanka_chopra_bollywood_actress-wide
“Nitaendelea kuwa single hadi nitakapoolewa,” aliliambia jarida la InStyle la Marekani. “Nimekuwa hivyo siku zote.”
634-priyanka-chopra-instyle-063016
“I’ve never dated. I’ve always been in relationships. It’s very different (in India). You like someone, you court each other, you get into a relationship. You’re answerable to each other. Whereas the non-answerability of dating (in Western countries), my god, I don’t know if I would ever be able to. I’ve never done it, so I don’t know,” alisema.
Muigizaji huyo ataonekana kwenye filamu ya Hollywood, Baywatch akiwa Zac Efron, Dwayne ‘The Rock’ Johnson na wengine. Filamu hiyo itaingia sokoni May 19, 2017.
Priyanka mwenye umri wa miaka 33 aliwahi kuwa Miss World mwaka 2000

No comments

Powered by Blogger.