Jokate Amfungukia Alikiba
Msanii na mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kumwaga sifa za
kutosha kwa msanii Alikiba na kusema kuwa ni msanii huyo ni mfalme ila
hana mbwembwe kama wasanii wengine.
Jokate alitumia ukurasa wake wa Instagram kumwaga sifa hizo na kudai kuwa akiwa amenuna akisikia sauti ya Alikiba anajikuta anafurahi kwani anavutiwa sana na sauti hiyo.
“Alikiba ni King wa kutoa ngoma baada ya ngoma, King asiye kuwa na mbwembwe, ni mzuri kuliko wote, ni mfalme wa sauti ya kumtoa nyoka pangoni. Nikinuna najikuta nafurahi nikisikia sauti yake, hapa nimesikiliza ‘Nisamehe’ nairudia tu, Nisamehe ni wimbo wa taifa unakuja kwa kasi ya ajabu”. Aliandika Jokate
Alikiba na Baraka the Prince wanategemea kuachia wimbo ambao utaiwa ‘Nisamehe’ ni wimbo wa Baraka the Prince ameshirikisha Alikiba.

No comments