Picha,Floyd Mayweather kaonyesha ndege mbili anazomiliki kwa sasa.
Floyd Mayweather aka ‘Money’
anazidi kutamba na mkwanja anaomiliki hata baada ya kustaafu ngumi.
Floyd Mayweather ni miongoni mwa wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani na
ametuonyesha hivi baad aya kuweka wazi kuwa ana ndege mbili binafsi kwa
sasa.
Mayweather anafahamika kwa kumiliki magari ya kifahari, ndege na nyumba,
No comments