Huyu ndio mpinzani Mkubwa Wa Diamond Platnumz katika Tuzo za BET 2016
Kwanza nikiri
kabisa katika moja ya mtanzania ninaye mkubali Diamond kwa kazi
anazozifanya ni mimi apa.Jamaa amekuwa balozi mzuri sana kwa nchi
yetu,ameipeperusha vyema bendera katika sekta ya muziki duniani na
mengineyo meeeengi ambayo nisijichoshe kuyasema maana mnayafahamu.
Jitihada zake hizi
ndizo zimemfanya awe nominated katika tunzo kubwa kabisa za BET kwa mara
ya pili.Nasikitika kusema mapema kuwa hatoweza kushinda iyo tunzo kwa
mwaka huu labda achaguliwe tena kwa mara ya tatu mwakani.
Nimesema hatoweza
kuchukua mara baada ya kuangalia mwenendo wa mpinzani wake mkubwa kwenye
tunzo hii WIZKID WIZKID WIZKID!!!!!! Daah huyu dogo kwasasa anatrend
mnoo marekani kuliko hata afrika,naweza kusema amefaulu kupenyeza mziki
wake marekani kwa 55%.
Hii ni mara tu alipofanya colabo na Drake ,wimbo uliomfungulia njia mara baada ya wimbo huitwao ‘one dance’ kuvunja rekodi kwenye billboard top 100.Juzikati hapo pia aliperform colabo yake nyingine aliyofanya na Chriss Brown wimbo wao unaitwa ‘African bad girl’..hili nalo ni bonge la hit…hakuishia hapo,nyota ikazidi kung’ara kwake mara baada ya kupost picha akiwa na super producer wa marekani Swizz Beatz na kuweka caption ya kuashiria kuna hit nyingine inakuja…

Kwa mwendo huu
naona ni vigumu sana kijana wetu Diamond kuchukua tunzo ya BET kwasasa
maana mbabe wake Wizkid tayari kashawasha moto huko Marekani na watu
washamkubali…naweza kusema ”Diamond wa kimataifa,lakini Wizkid wa kidua”
All in all tumtakie
tu kila la kheri mtanzania wetu na kumuombea pia..namshauri Mondi
akishatoa kolabo ya Psquare, hit inayofatia atoe aliyofanya na Wizkid
kwanza kabla ya ile aliyofanya na Neyo…maana ni ukweli usiopingika
kwasasa Marekani wanamsikiliza zaidi Wizkid kuliko wanavomsikiliza Neyo.
No comments